<?xml version="1.0" encoding="UTF-8"?><song><lyrics>[V1]
 Yesu zama Bethilehemu,
 Aliyezaliwa kwa aibu,
 Ndiye mwokozi wa ulimwengu,
 Akaja kwa mimi.

[V2]
 Akaja kwa mimi; akaja kwa mimi;
 Ndiye mwokozi wa ulimwengu,
 Akaja kwa mimi.

[V3]
 Yesu akafa msalabani,
 Kuniponya akalipa deni,
 Ni la ajabu ya jinsi gani
 Kunifia mimi!

[V4]
 Kunifia mimi! Kunifia mimi!
 Ni la ajabu ya jinsi gani
 Kunifia mimi.

[V5]
 Ni yeye huyo tangu asili;
 Na nilipotanga-tanga mbali
 Alikuja kwa upole, kweli
 Kuniita mimi.

[V6]
 Kuniita mimi; Kuniita mimi;
 Alikuja kwa upole, kweli
 Kuniita mimi

[V7]
 Yesu kristo atarudi tena,
 Hilo lanifurahisha sana.
 Yeye Bwana akionekana
 Kunijia mimi.

[V8]
 Kunijia mimi, kunijia mimi,
 Yeye Bwana akionekana
 Kunijia mimi</lyrics>
<title>Yesu Zamani Bethrehemu TZR73</title>
<hymn_number>73</hymn_number>
</song>